Wapo nyumbani hawana ajira, wengine wanafanya kazi na kulipwa mshahara kidogo,
In shortly waliosoma wengi wao wakimaliza masomo hutegemea kuajiriwa, na hata kama hatopenda kuajiriwa na kuamua kujiajiri hatokuwa na mtaji wa kutosha au asiwe nao kabisa huo mtaji wa kuanzia biashara yake.
Hivyo muda mwingi atakuwa hafanyi shughuli yeyote au atafanya shughuli ambayo hakutarajia kufanya ila ilimbidi afanye kusudi aweze kuishi.
Kwa upande mwingine mtu asiye soma ama alisiyekuwa na elimu muda mwingi hutumia akili kutafuta pesa mtaani haijalishi ni kazi gani atafanya ila akili ya kutafuta pesa atakuwa nayo maradufu, hii ndio tofauti ya aliyesoma & asiyesoma.
Hao niliosoma nao na walioendelea bado hawajaweza kunizidi kipato.
Nimewaonea huruma.
" try to be different "
" if you want it, you have to work for it "