Naomba kufahamishwa vitabu vizuri vya chemistry na biology kwa A-level

Nami pia msaada vitabu gan nitafute HKL na GEOG
Hapo kwa hkl ni lazma uwe na vitabu vifuatavyo
ADVANCED MASTERING1
ADVANCED MASTERING2~by mwalimu kato
ESSENTIAL ADVANCED HISTORY~saleh yasin
CONTEMPORALY HISTORY by mwalimu shibitali

KISWAHILI
NYAMBARI NYANGWINE kinatosha
LANGUAGE
kimeandikwa na nicholous ashery
 
Alie kwambia tunataka kwenda shule il tupate kaz nan...... We kweli ujasoma we
Mbona S.A watu wamesoma karbu nchi nzima lakin hawana kaz na wanaish na kufankiwa kimaisha
We utakua uliona bora ktoa p... mtaan
Asante kwa ushauri lakin
 
Alie kwambia tunataka kwenda shule il tupate kaz nan...... We kweli ujasoma we
Mbona S.A watu wamesoma karbu nchi nzima lakin hawana kaz na wanaish na kufankiwa kimaisha
We utakua uliona bora ktoa p... mtaan
Asante kwa ushauri lakin
Naona hujanielewa,
Hakuna binadamu anayepata basic needs na wants bila kufanya kazi, haijalishi umesoma au hujasoma, ni lazima utahitaji kuwa na malengo ya kufanya kitu fulani au jambo fulani utaweza vipi kutimiza malengo yako bila kulifanyia kazi hilo suala,

Utasoma lakini utafanya kazi haijalishi ni kazi.

Kama hukusoma ni lazima pia ufanye kazi, haijalishi ni kazi gani.

" be patient, great things take time "
 
Sawa mkuu tupe mbinu bas na cc ili tukiacha kusoma tufany kama ulivofany ww
 
Ahsante sana mkuu
 
Sawa mkuu tupe mbinu bas na cc ili tukiacha kusoma tufany kama ulivofany ww
Life are differ.
Fanya kile unachoona wewe unakiweza usifanye kwa kuwa mwingine amefanya,
Kama unasoma nenda shule kasome ila kwa mfumo huu wa elimu Tanzania, ni sawa na kujaza maji kwenye gunia.

" make yourself priority "
 
Life are differ.
Fanya kile unachoona wewe unakiweza usifanye kwa kuwa mwingine amefanya,
Kama unasoma nenda shule kasome ila kwa mfumo huu wa elimu Tanzania, ni sawa na kujaza maji kwenye gunia.

" make yourself priority "
Ok bas tutafany tunachotaka kama elim hatutapata ajira bas tutajiajir
 
Jaman kwa anauejua vitabu na vitu vingine ambavyo mwanafunz anaye soma chemistry na biology lazma awe navo
NASHUKURU MKINITAJIA LIST...
Hakuna kitabu ambacho ni lazima uwe nacho as at advanced level esp for science no specific book authorized but mimi binafsi kwa chemistry nilitumia CHAND(Kidogo, coz kuna wataalamu wanatoa materials mazuri tu yanayokubalika)na BIOLOGICAL SCIENCE for bios!

Na unaonekana unakwenda kusoma masomo mawili tu yaani comb. yako ni ?CB thats ridiculous!
 
Halafu learn how to right sanitily, tutajiajir ndo nini mbona mnatutia aibu wasomi dah!
Nyie wasomi sawa ndo mana mnatukosoa c ndo kwanza tunafungua kurasa cjaona kinachokushangaza
 
Kama hkl simple unaeza anza kupiga msuli hata saiz aisee ingia play store angalia kuna app inaitwa thl inanotes zote form 1 up to six
Ok ila nasikia mpaka uilipe ndo uchukue material cjui kama ni kwel
 
Ni kweli ujinga ila na mm nqmaamz yangu
 
Natafuta materials ya mwanafunzi wa HKL. Naombeni msaada. Nipo Ubungo Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…