Naomba kufahamishwa vitasa vizuri vya kufunga katika milango

kitasa kizuri ni Yele ni kizuri sana ila bei yake imechangamka kidogo,inaanzia 90 mpaka laki na nusu ni maduka machache sana wanaouza........ila pia ukitaka vingine kwa bei ya kuanzia 20,25,30 ama 40 nenda gerezani wana vitasa vizuri sana hutojutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…