Naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in Water resource Engineering

Naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in Water resource Engineering

Water Resources jaribu IHE Delft Institute for Water Education.
Anza kwa kupata Admission. Admission rahisi kupata lakini lazima uwe na certificate ya kuwaaminisha unajua English.
Wenyewe wana scholarships.

Option two jaribu Tanzania.
1. Nelson Mandela
2. SUA na
3. Udsm
Pia wanakuaga na scholarships lakini pata kwanza admissions.
 
Utacheki Kama unafiti vigezo unaomba like age,kozi unayotaka kusoma,age wanayotaka, uzoefu wa kazini labda Ni 0 yr,jinsia,rangi,dini,kabila,kata uliyozaliwa, ukiwa navyo unatuma. Zingine Kama hujamalizia udsm watakuambia uendepo wa grade gpa yako,sijui Kama unanielewa. Usinichukie nakuelewesha na kukupa somo in hard way Mana brain huwa haielewi in soft way lazima pains or pleasure itokee ili ishtuliwe iamke Mana brain Ni sleeping giant creature like Millions of whales. So kuiamsha brain sio kazi ya kitoto Kama tunavyowaza lazima itokee very very hardship ndio mtu anaamua kuchange ama kuelewa na kuamua kubadilika.
Mfano mdogo tu unaweza ukazoesha ubongo wako kila siku ukawa unatembea 5km yaani kila siku usi skip even a day hata Kama unaumwa utembee?
Sema Kama ukiahadiwa Raha fulani like ya mbususu lazima utatekeleza Ilo suala, ama daktari amekuambia kuwa utakufa Kuna ugonjwa unakuja so inabidi utembee ivyo ivyo iwe ndio kazi yake. Ujue hii kazi hata ukiambiwa utembee maisha yako yote ndio kazi na kuna salary Kama 100M kila mwezi Ila hutoacha kutembea hata siku moja labda uwe umekufa bado Kuna muda itafikia utachoka iyo kazi na hutooana Raha ya maisha ,Hakuna kusafiri,ama kutembelea ndugu. Yaani hata Kama unaumwa unaambiwa tembea yaani labda uwe umekufa Ni wachache mno wataiweza iyo kazi Nina Imani Iyo.
 
Ingia ubalozi wa ufaransa utaona tangazo nazani la mwaka jana mwezi wa kumi...

China pia wamefungua madirisha hivyo wakati ni wako

Kama ni mtumishi ingia wizara ya kilimo napo kuna fursa

Fursa zipo ni juhudi zako tu...
 
Asanteni members nimepitia jumbe zenu nimepata mwanga nawashukuru
 
Back
Top Bottom