Panctuality JF-Expert Member Joined Jun 11, 2019 Posts 775 Reaction score 1,150 Nov 26, 2024 #1 Habarini wenyeji wangu. Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Habarini wenyeji wangu. Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
E Einee New Member Joined Dec 14, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Nov 26, 2024 #2 Ni mjini karibu na makao makuu ya CCM/ white house kama unaenda TRA ya zamani