Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
- Thread starter
-
- #21
wee jamaa mboga kweli nani mtoto?? Attack the arguement ubishane kwa hoja na sio kutukana?? Una ukomavu gani wa akili na lugha zako za matusi!??Basi furahia maisha ya utoto yaliyo kichwani mwako maana unauliza ujinga
EMPTY SET kabisa.
Lakini kwa hapa Dar, nilisikia kuwa ile Cassino pale upanga adjacent na Agakan Hospital wapo wanaume ambao wake zetu huwa wanaenda kuwachukua na kuwalipa ili wawanyonye K zao kwa vile sie tunatafuta dogodogo wanaotunyonya nao wanalipiza kisasi. Lakini Karucee usinipige madongo kama si kweli. Hivyo Madame Azial kama unataka kupata msaada wa kukunyonya, nenda hapa hasa kama saa 6 usiku na ulete mrejesho. Ili wengine wafurahie huduma na vijana wapate rizikiAsante mkuu!
Kwani wewe mwanaume mwenye either uhitaji wa huduma au pesa ukienda kujipanga kutafuta huduma au pesa unakuaje??Maelezo yangu yalikuwa mepesi sana, but yamesaidia ufunguke zaidi.
Siwezi kujua kama ni kweli ndugu yangu.Lakini kwa hapa Dar, nilisikia kuwa ile Cassino pale upanga adjacent na Agakan Hospital wapo wanaume ambao wake zetu huwa wanaenda kuwachukua na kuwalipa ili wawanyonye K zao kwa vile sie tunatafuta dogodogo wanaotunyonya nao wanalipiza kisasi. Lakini Karucee usinipige madongo kama si kweli. Hivyo Madame Azial kama unataka kupata msaada wa kukunyonya, nenda hapa hasa kama saa 6 usiku na ulete mrejesho. Ili wengine wafurahie huduma na vijana wapate riziki
Dunia uwanja wa fujo ndugu yangu. Hii kitu kulipiza kisasi katika ndoa sijui itaisha liniSiwezi kujua kama ni kweli ndugu yangu.
Ilankwa wake za watu basi ngachoka.
Wadada kama bado hamjawa tayari kuolewa tembezeni kipochi manyoa mpaka mrizike.
Mkiolewa tulieni more familia.
Kulipiza kisasi kwa kutembea nje ya ndoa?Dunia uwanja wa fujo ndugu yangu. Hii kitu kulipiza kisasi katika ndoa sijui itaisha lini
😡 😡 😡Hivi kuna wanaume wanaojiuza au kutoa huduma kama wanazotoa wanawake
Naona badala ya kutafuta kujua unafanya promo.Kwani wewe mwanaume mwenye either uhitaji wa huduma au pesa ukienda kujipanga kutafuta huduma au pesa unakuaje??
Yaani kama hujui unaweza kuona huyu Don Juan Ana bonge la jina. Bwana si ndo huyu?Yes mkuu wapo wanaitwa Gigolo
Au majina mengine wanaitwa Casanova, Lothario, inamorato, Don Juan, lady-killer.
Ushauri wa makundi. 'Kwanini na wewe usitafute kijana ukamuogesha ukawa unatembea naye'; 'ili mkirudi nyumbani iwe ngoma droo' anashauriwa na mashoga wenzie ambao wengi waliachika kutoka kwa wanaume. Haya makitu achana nayo, ni balaa tupuKulipiza kisasi kwa kutembea nje ya ndoa?
Hiyo bado itakuwa ni ndoa bado?
Hawaoagi hao maana washazoea umarioo kula bata na wamama kujirusha sehemu mbali mbali za starehe.Yaani kama hujui unaweza kuona huyu Don Juan Ana bonge la jina. Bwana si ndo huyu?
Kumbe mwenzio anapambana na deki za kila aina 😰
Msingi kiuno aisee.Hawaoagi hao maana washazoea umarioo kula bata na wamama kujirusha sehemu mbali mbali za starehe.
Hili ni dume linatafuta wateja wa kulinunua.
upo sawa kasaro hapo penye ugumu tu! Ninaamini napata huduma ambazo sidhani kama unampatia mkeo au demu wako!Kweli wanawake hampendani [emoji23][emoji23] ...Mimi hapa saizi nikipost nimegundua chimbo la Dada poa wakali wasio na longolongo na wapo wa kutosha aiseee nitaulizwa liko wapi Hadi sio poa na lazima niwajibu na niwaoneshe [emoji39][emoji39][emoji39] ila nyie sasa .....Dada wa watu kajiulizia tu sijui ugumu umembana wewe umemkomalia utafikiri kakuibia[emoji3][emoji3] come on acha hizo bana
Wallaaa, huo ni mtazamo wako tu!Naona badala ya kutafuta kujua unafanya promo.
Kwa hilo sina msaada wowote kwako.
Naona kakupa na like kwamba umemtetea na umeongea point😀😀 ila mimi hadi nacomment sikujua jinsia yake na hata sahivi sijui if ni she/he zaidi ya kuniita mamdogo nikamjibu mamkubwa! Anyways hili ni jukwaa huru ana haki ya kuuliza na kuandika chochote pia wachangiaji tuko huru pia, nimejaribu tu kuuliza tija ya hicho anachokiulizia ni nini anapromote hiyo biashara kwamba anataka na yeye ajoin ama? Wala Haihusiani na kutopendana kwetu😜Kweli wanawake hampendani [emoji23][emoji23] ...Mimi hapa saizi nikipost nimegundua chimbo la Dada poa wakali wasio na longolongo na wapo wa kutosha aiseee nitaulizwa liko wapi Hadi sio poa na lazima niwajibu na niwaoneshe [emoji39][emoji39][emoji39] ila nyie sasa .....Dada wa watu kajiulizia tu sijui ugumu umembana wewe umemkomalia utafikiri kakuibia[emoji3][emoji3] come on acha hizo bana
We bana wee hampendani. Mbona sisi wanaume tunatajiana machimbo bila noma Wala maswali maswali. Alafu kwani wewe hujui kinacho enda kufanyika huko au basi ujuaji tu......?Naona kakupa na like kwamba umemtetea na umeongea point[emoji3][emoji3] ila mimi hadi nacomment sikujua jinsia yake na hata sahivi sijui if ni she/he zaidi ya kuniita mamdogo nikamjibu mamkubwa! Anyways hili ni jukwaa huru ana haki ya kuuliza na kuandika chochote pia wachangiaji tuko huru pia, nimejaribu tu kuuliza tija ya hicho anachokiulizia ni nini anapromote hiyo biashara kwamba anataka na yeye ajoin ama? Wala Haihusiani na kutopendana kwetu[emoji12]