Naomba kufahamishwa

Naomba kufahamishwa

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Naomba kujua hivi ni nini hasa kilichosababisha Manji kuacha kuifadhili yanga.
Maana kama hakuwepo nchini sio sababu yenye mashiko.
Najaribu kutafakari na sipati majibu maana aliiacha yanga ilihali akijua ilikuwa bado iko vibaya kiuchumi
KWA LUGHA NYINGINE NI KAMA KUACHA KUMSAIDIA MTU AMBAE ULIKUWA NA UWEZO WA KUMSAIDIA HALAFU BAADAE WAMEPATA GSM LAKIN MASHABIKI WANAMTAKA MANJI
 
Back
Top Bottom