Sio kosa lake ni timu kukosa ushawishiLabda huwa abaifadhili yanga kwa sababu maalumu . maana ni kwa makusudi aliamua kuiacha yanga huku akawa anaiangalia inavyoteseka
Yap uongozi nao kuna vichwakwa hiyo sasa hivi anapotaka kurudi ina maana timu imeshapata ushawishi