Naomba kufahamishwa

Naomba kufahamishwa

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,692
Wanajamvi habari za j2!

Ninaomba kujuzwa, hivi inawezekana Kwa wenzetu walioko nje ya nchi yaan wanaoishi ughaibuni mtu akafariki ndg zake huku Tz wasijue?

Najua wapo ambao tunawaombeaga michango ya kusafirishwa lakini je wapo ambao hatuambiwagi kabisa habari zao? Kama wapo miili ama maiti zao hufanywaje? Zinachomwa ama zinazikwa tuu?
 
Hata dsm apo watu wanakufa na ndugu hawajui sembuse ng'ambo wakifa wanazikwa hko hko ila hua wanatangaza deadline ikiisha wanazika!
 
Back
Top Bottom