Naomba kufahamishwa

Naomba kufahamishwa

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye mirath Ni Nani anafaidika na kilichobakia?
 
Kwa mirathi ya kiislamu mke anapata moja kwa nane ya thamani ya mali yote aliyowacha baba.

Watoto wote walio hai wanapata sehemu ya mali ya baba kwa ratio ya 2:1 (mwanamme 2, mwanamke 1)
 
Back
Top Bottom