Kuna jirani yangu alipora kipande cha ardhi yangu kwa kuwa sikuwepo kwa muda wa miaka 4 pale nyumbani. Niliporudi na kuona hivyo, nilifungua kesi katika Baraza la Kata.
Baraza lilifika kuangalia eneo husika linalogombaniwa ikiwa ni pamoja na mashahidi wa pande zote mbili kutoa ushahidi wao. Hatamaye nilishinda kesi ingawa Baraza la Kata halikuja tena kuweka mipaka kati yetu kwamba nani mpaka wake unaishia wapi.
Je, naweza kuendelea kufanyia kazi eneo hilo kwa kutumia mipaka nikiyoonesha wakati wa kesi?