pole sana, nendeni serikali ya mtaa husika mkaeleze tatizo lenu, ila kama mnataka kwenda mahakamani mnatakiwa muwe na sababu (cause of action) mfano kuna uharibifu umetokea kutokana na hiyo mitaro kuelekezwa kwenye nyumba zenu, na wa kumhitaki hapo ni mkandarasi na taasisi inayohusika na ujenzi huo (kwa maana ya serikali)