masesethedreama
Member
- Aug 23, 2015
- 39
- 12
habar wadau, naomba kufahamishwa kuhusu sheria ya ujenz wa mabarabara na kuelekeza maji yake kwenye makaz ya watu.maana huku kwetu kuna barabara imejengwa na maji yake yameelekezwa kwenye mij yetu sa tufanyeje kuzisaidia nyumba zetu.