Jaji Tz
Member
- Feb 16, 2015
- 33
- 19
kipindi cha miaka mitano ya JPM mambo mengi mazuri yamefanyika kama vile "Tumeweza kurasimisha vijiji 86 vilivyokuwa ndani ya hifadhi, na tumeweza kuondoa kero ya muda mrefu ya migogoro kati ya wananchi na hifadhi"
"Kwa miaka 10 yote, Mzee Kikwete aliteua mimi kuwa Waziri wake, nimejifunza mengi kutoka Kwake. Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais tulikuwa 42, Mzee Kikwete aliendesha zoezi hilo kwa ufanisi mkubwa hadi nikapatikana mimi. Ahsante sana kwa upendo mkubwa"