Naomba kufahamu Ada ya Uhasibu Ngazi ya Certificate na Diploma

Naomba kufahamu Ada ya Uhasibu Ngazi ya Certificate na Diploma

Jaji Tz

Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
33
Reaction score
19
kipindi cha miaka mitano ya JPM mambo mengi mazuri yamefanyika kama vile "Tumeweza kurasimisha vijiji 86 vilivyokuwa ndani ya hifadhi, na tumeweza kuondoa kero ya muda mrefu ya migogoro kati ya wananchi na hifadhi"
"Kwa miaka 10 yote, Mzee Kikwete aliteua mimi kuwa Waziri wake, nimejifunza mengi kutoka Kwake. Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais tulikuwa 42, Mzee Kikwete aliendesha zoezi hilo kwa ufanisi mkubwa hadi nikapatikana mimi. Ahsante sana kwa upendo mkubwa"
 

Attachments

  • M7.jpg
    M7.jpg
    242.4 KB · Views: 9
  • dodo.jpg
    dodo.jpg
    296.6 KB · Views: 5
Ada inategemea chuo na chuo mkuu, pia kuhusu ajira kama una ndugu yako yupo kitengo utapata.
 
CHUO CHA TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY, FEES NI INACHEZEA AROUND 900,000 JARIBU KUCHEKI WWW.TIA .CO.TZ
 
kama umeeza kuingia jamiiforum obvious unaeza kuingia kwenye tovuti ya vyuo husika,cheki IFM,TIA,IAA,CBE&MU......kwa kuangalia ivo utapata majibu sahihi
 
Back
Top Bottom