Naomba kufahamu bei ya vitu vya skauti mashuleni

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,998
Wakuu pole na majukumu.

Naomba kwa anayejua bei ya vitu ya SCOUT/SKAUTI mashuleni.

Mfano.
Zile hankerchief(vitambaa) zao ni Tsh ngapi?
Kofia
Tisheti n.k,

Na nkivitaka naweza vinunua kwenye maduka yapi?
 
Kwa washona nguo unapeleka vitambaa na sample,
Upo mkoa gani
 
Soma dogo.. Ayo yanapoteza mda tu
Acha hizo mkuu,Mbona unamkatisha tamaa dogo?Mi mwenyewe ni member na siko bongo kitambo na nawajuwa washkaji kibao ambao tulikuwa tunakutana Bahati Camp Morogoro wote wako ng'ambo na maisha ni mazuri.
 
Scout ndo imewatoa Mkuu sio?!
 
Acha hizo mkuu,Mbona unamkatisha tamaa dogo?Mi mwenyewe ni member na siko bongo kitambo na nawajuwa washkaji kibao ambao tulikuwa tunakutana Bahati Camp Morogoro wote wako ng'ambo na maisha ni mazuri.
Kwenye ukweli tuna sema. Scout Sio saivi lbd zamani
 
Back
Top Bottom