Acha hizo mkuu,Mbona unamkatisha tamaa dogo?Mi mwenyewe ni member na siko bongo kitambo na nawajuwa washkaji kibao ambao tulikuwa tunakutana Bahati Camp Morogoro wote wako ng'ambo na maisha ni mazuri.Soma dogo.. Ayo yanapoteza mda tu
Nitake radhi mkuu mi ni MKAKA rijali kabsaNdio dada
Scout ndo imewatoa Mkuu sio?!Acha hizo mkuu,Mbona unamkatisha tamaa dogo?Mi mwenyewe ni member na siko bongo kitambo na nawajuwa washkaji kibao ambao tulikuwa tunakutana Bahati Camp Morogoro wote wako ng'ambo na maisha ni mazuri.
Ndiyo mkuu,toka waondoke na Scout miaka ya 90 hawajarudi mpaka leo na kila mtu anaishi maisha yake.Scout ndo imewatoa Mkuu sio?!
Kwenye ukweli tuna sema. Scout Sio saivi lbd zamaniAcha hizo mkuu,Mbona unamkatisha tamaa dogo?Mi mwenyewe ni member na siko bongo kitambo na nawajuwa washkaji kibao ambao tulikuwa tunakutana Bahati Camp Morogoro wote wako ng'ambo na maisha ni mazuri.