Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya .
Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli.
Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk.
Hata Kama mwandiko wangu sio nzuri lakini nategemea kuwa nimeeleweka.
Ahsanteni sana.