Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

Wastani wa bei ya kuweka paving blocks kwa meta moja ya mraba (square metre) ni shilingi 20,000 za kitanzania (Plus or minus kulingana na mahali ulipo, aina ya ardhi, designs utakayochagua, ...n.k.).
Piga hesabu kiasi cha eneo ulilonalo x 20,000/= utapata rough estimates za kuanzia hiyo kazi.
Kwa hiyo ninunue paving kwa 15,000 kwa sqm wewe uje uziweke kwa afu 20?
 
Usiweke paving zinaotesha majani na fangasi, weka urembo wa michoro ya sement floor
 
Back
Top Bottom