Kome Ukara, msalimie demu wangu nyasatu jaman miaka hiyo tunasikiliza nae radio clouds fm pale uwanja wa shule ya msingi kome, mtangazaji akiwa Amina Chifupa.
Ukara weeee, unaenda kuoga jion ziwani ukirudi na samaki au dagaa umechota bure wa kuja kula, sijui kama bado huo utamaduni upo