Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

Nenda vizuri mkuu binti wa huko akikushika ukafanya naye mabo basi utasahau familia na kazamia huko maana niwatundu balaa na wanayajuwa mambo, ukimwi kidogo nasikia kuna ongezeko la wagonjwa maana unaenda nyama kwa nyama,
Hii niliambiwa na washikaji zangu ambao ni wazaliwa wa huko
 
hayo yote yaliyosema ni biashara ya mda mfupi tu. kwa sasa huko hakuna chakula na watu ni wengi hvyo chakula hakitakukata
 
Kome Ukara, msalimie demu wangu nyasatu jaman miaka hiyo tunasikiliza nae radio clouds fm pale uwanja wa shule ya msingi kome, mtangazaji akiwa Amina Chifupa.

Ukara weeee, unaenda kuoga jion ziwani ukirudi na samaki au dagaa umechota bure wa kuja kula, sijui kama bado huo utamaduni upo
 
Back
Top Bottom