G gerryrock New Member Joined Feb 23, 2018 Posts 0 Reaction score 0 Feb 12, 2021 #1 Habari za muda huu wadau Ninaomba kufahamu zaidi kuhusu gharama za kukodisha ghala la kuhifadhi materials ya ujenzi ( Construction materials warehouse house) lenye square meter 400 lili chin ya mamlaka ya serikali. Kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Habari za muda huu wadau Ninaomba kufahamu zaidi kuhusu gharama za kukodisha ghala la kuhifadhi materials ya ujenzi ( Construction materials warehouse house) lenye square meter 400 lili chin ya mamlaka ya serikali. Kwa mkoa wa Dar es Salaam.