Naomba kufahamu gharama za Building/Construction material warehouse in Dar es Salaam

Naomba kufahamu gharama za Building/Construction material warehouse in Dar es Salaam

gerryrock

New Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
0
Reaction score
0
Habari za muda huu wadau

Ninaomba kufahamu zaidi kuhusu gharama za kukodisha ghala la kuhifadhi materials ya ujenzi ( Construction materials warehouse house) lenye square meter 400 lili chin ya mamlaka ya serikali.

Kwa mkoa wa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom