Naomba kufahamu gharama za kufanya meno yawe meupe (Whitening of teeth)

Naomba kufahamu gharama za kufanya meno yawe meupe (Whitening of teeth)

Acheni kutumia hela vibaya, chukua pande la mkaa mzuri lisage sage upate lile vumbi lake chukua mswaki weka na vumbi la mkaa ulilosaga kapige kutwa Mara tatu fanya kwa week, then uje ulete mrejesho.
kuna jama aliniambia hivi humu humu jamii forum namtafuta hata nimpe shukrani hii njia ni nzuri hadi shemeji yenu kuna muda ana angalia meno yangu anashindwa kuniulizi jinsi yalivyo kama kanzu yanii nikimalizaga na mkaa napiga colgate
 
Ni nzuri lkn masharobaro wataona kama utani hv

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Aiseeeee, Kuna kuna mambo mengi a msingi yanatupita na hatuyajui.
"Teeth Whitening"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Never heard before
Haya mambo yapo toka kitambo usione mastaa wana ng'aa vinywaji wanarekebisha hadi kuweka mpangilio wa meno
 
bicabonate of soda imegoma?,kabla hujaenda hos ni vizuri ukaanza na njia mbadala kwanza,vilevile unaweza gharisha leo baada ya mwezi ukarudi kwenye unjano,sababu ya vinywaji unavyotumia
 
Nahisi utapoteza pesa zako bure. Niliwahi kusikia ukinywa maji ya Betri ya gari hapohapo meno yanakua meupe kama asubuhi. Hebu jaribu bwana Apologiz halafu utatujuza mafanikio yake.
 
Write your reply...
 
Hapa tunduru ni buku 4! tu kinywa kizima I mean bukubuku 4
 
Back
Top Bottom