Outcomes je??Kama whitening pekeyake kama dakika 10 to 15, ingawa mimi nilifanya kwanza extraction (kama sijakosea spelling) then nikafanya whitening, hivyo ilinichukua kama lisaa kimoja hivi.
Sio kwa asilimia mia, mana nilitarajia ile whitening ifanye meno yawe white kabisa ya shine, ila sio sana.Outcomes je??
Umepata ulichokitarajia??
kuna jama aliniambia hivi humu humu jamii forum namtafuta hata nimpe shukrani hii njia ni nzuri hadi shemeji yenu kuna muda ana angalia meno yangu anashindwa kuniulizi jinsi yalivyo kama kanzu yanii nikimalizaga na mkaa napiga colgateAcheni kutumia hela vibaya, chukua pande la mkaa mzuri lisage sage upate lile vumbi lake chukua mswaki weka na vumbi la mkaa ulilosaga kapige kutwa Mara tatu fanya kwa week, then uje ulete mrejesho.
Ni nzuri lkn masharobaro wataona kama utani hvkuna jama aliniambia hivi humu humu jamii forum namtafuta hata nimpe shukrani hii njia ni nzuri hadi shemeji yenu kuna muda ana angalia meno yangu anashindwa kuniulizi jinsi yalivyo kama kanzu yanii nikimalizaga na mkaa napiga colgate
Kweli mkuu.Acheni kutumia hela vibaya, chukua pande la mkaa mzuri lisage sage upate lile vumbi lake chukua mswaki weka na vumbi la mkaa ulilosaga kapige kutwa Mara tatu fanya kwa week, then uje ulete mrejesho.
Haya mambo yapo toka kitambo usione mastaa wana ng'aa vinywaji wanarekebisha hadi kuweka mpangilio wa menoAiseeeee, Kuna kuna mambo mengi a msingi yanatupita na hatuyajui.
"Teeth Whitening"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Never heard before
Ila so far so good??Sio kwa asilimia mia, mana nilitarajia ile whitening ifanye meno yawe white kabisa ya shine, ila sio sana.
Yaaap, ni good kuna improvement, at least naweza cheka meno nikaacha nje comfortableIla so far so good??
Vinywaji gani mkuubicabonate of soda imegoma?,kabla hujaenda hos ni vizuri ukaanza na njia mbadala kwanza,vilevile unaweza gharisha leo baada ya mwezi ukarudi kwenye unjano,sababu ya vinywaji unavyotumia
Aiseeeee, Kuna kuna mambo mengi a msingi yanatupita na hatuyajui.
"Teeth Whitening"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Never heard before
Sio kwa asilimia mia, mana nilitarajia ile whitening ifanye meno yawe white kabisa ya shine, ila sio sana.
Aiseeeee, Kuna kuna mambo mengi a msingi yanatupita na hatuyajui.
"Teeth Whitening"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Never heard before
Inaweza kurudi kwa asilimia ndogo sana, ndio maana Dr. alinishauri niwe nafanya whitening baada ya mwaka.Baada ya hapo hayawezi tena kurudia rangi yake ya awali?