Naomba kufahamu gharama za kufanya mtihani wa ATEC

Joined
Sep 25, 2014
Posts
29
Reaction score
26
Poleni sana na majukumu wakubwa.

Samahani kwa yoyote anaejua gharama za kufanya accounting technician exam level 2 , including gharama zote za review class pamoja na registration expenses tafadhali naomba mnijuze.

Nina certificate ya Accountancy nataka ninania ya kufanya mitihani ya Nbaa.
 

wewe unapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…