Naomba kufahamu gharama za kufanya mtihani wa ATEC

Naomba kufahamu gharama za kufanya mtihani wa ATEC

Joined
Sep 25, 2014
Posts
29
Reaction score
26
Poleni sana na majukumu wakubwa.

Samahani kwa yoyote anaejua gharama za kufanya accounting technician exam level 2 , including gharama zote za review class pamoja na registration expenses tafadhali naomba mnijuze.

Nina certificate ya Accountancy nataka ninania ya kufanya mitihani ya Nbaa.
 
Poleni sana na majukumu wakubwa. Samahani kwa yoyote anaejua gharama za kufanya accounting technician exam level 2 , including gharama zote za review class pamoja na registration expenses tafadhali naomba mnijuze. Nina certificate ya Accountancy nataka ninania ya kufanya mitihani ya Nbaa.

wewe unapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom