Naomba kufahamu GPA ya Form 2 Inapatikanaje

Naomba kufahamu GPA ya Form 2 Inapatikanaje

Cambri

Senior Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
160
Reaction score
37
Wakuu naomba anayejua jinsi GPA inavyopatikana anisaidie maana nimeangalia matokeo ya Form 2 yamenichaganya kidogo kwa maana sehemu nyingine GPA kubwa inakuwa ufaulu mkubwa lakini sehemu nyingine GPA ndogo ila ufaulu mkubwa.

Tizama matokeo ya http://necta.go.tz/matokeo2015/03_S0387-0.htm na http://necta.go.tz/matokeo2015/11_S0372-0.htm.

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]0052[/TD]
[TD][/TD]
[TD]PLAKSEDA M LONGFORD[/TD]
[TD]F [/TD]
[TD]C[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]E[/TD]
[TD]C[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]B[/TD]
[TD]E[/TD]
[TD]E[/TD]
[TD]C[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]1.6[/TD]
[TD]CREDIT[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]0122[/TD]
[TD][/TD]
[TD]MICHAEL JACKSON NKOBONGO[/TD]
[TD]M[/TD]
[TD]B+[/TD]
[TD]C[/TD]
[TD]B[/TD]
[TD]B[/TD]
[TD]D[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]E[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]0.3[/TD]
[TD]PASS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ukitizama watahiniwa hao yupi kafanya vizuri zaidi? Anayeujua mfumo wa GPA ya Form 2 asaidie tafadhali
 
Halaf kwa f2 huwa wanachukua matokeo ya masomo 9 yale muhim yani kiswa, math, bios, chem, phys, hist, geog, civ, eng hayo so kama amevuruga kati ya hayo masomo hapo juu ndo maana umeona amepata ndogo hiyo.
 
Ipo hivi A=5
B+=4
B=3
C=2
D=1
E=0.5
F=0

Wanachukua masomo saba ulio faulu wanajumlisha hizo point halafu wanagawanya kwa saba wanapata GPA mwenye GPA kubwa ndo kafauli kukiko mwenye ndogo hapo!

Hapo mwanafunzi awe makini kubalance matokeo sio anapata A somo moja jingine F.
 
Back
Top Bottom