Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Farakhan ni Jihuni lililovaa Iislam na Uafrika.
BST!. Wameunda uislam wao wa kihuni ulio na misingi ya Kimarekan.
Lina kipaji cha kuongea ila ni Jitu la chuki na kupenda umaarufu.
Msipoteze muda wenu kumsikiliza. He is not true Negroe!!
Farakhan nalifananisha huku kwetu na watu kama kina Gwajima,Mwamposa,And the like.
Ni wahuni hawana lolote.