Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hii story ndio haipo wazi kabisaElijah alikuwa mtu mwovu sana.
adriz uli leta au ndo Kama gun man season 2 😂🤣Nitakuja na uzi maalaumu wenye uchambuzi wa ndani kabisa kuhusu NOI ,Malcom X na harakati zake zote za kimaisha .
Utakuwa evidence based katika kipa kipengele nishakusanya audio clips video now namalizia Kitabu cha tatu kabla ya kupanga mtiririko vizuri.
Niko naangalia godfather of Harlem, naona kisa kilivyo kuwaBado nasikilizia .
Nitumie mzigo huo au nipe chimbo nikachukue.Niko naangalia godfather of Harlem, naona kisa kilivyo kuwa
Download on stream app mzee, iko vizuri mnoNitumie mzigo huo au nipe chimbo nikachukue.