Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wapigie simu, namba yao ipo kwenye website yao.Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences
Nawakaribisha.
Ina deal na mambo ya maabara..sana sana sample za wanyama. Wanasoma kozi kama microbiology l, molecular na haematology.Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences
Nawakaribisha.
Asante mkuuIna deal na mambo ya maabara..sana sana sample za wanyama. Wanasoma kozi kama microbiology l, molecular na haematology.
Hadi sasa hivo haipo chini ya wizara maalumu kama ilivo Bsc. Microbiology ya udsm(sina uhakika sana kwa microbiology).
Kazi zake wanafanyia sana kwenye maabara za wanyama(TVLA).
Nimeuliza ili niifahamuMkuu ndo unataka uisome?
Mkuu vp ww umebahatika kupata nafasi ya chuoNimeuliza ili niifahamu
Nasubir second round..Mkuu vp ww umebahatika kupata nafasi ya chuo
Na mm km ww nasubiri 2nd round human nutritionNasubir second round..
Uko SUA..?
Kwa ambao wanasoma au wanaifahamu hii kozi kiundani inayotolewa pale SUA, inadili na nini hasa na upande wa matumizi yake..
Bachelor of science in Biotechnology and Laboratory sciences
Nawakaribisha.
Ina deal na mambo ya maabara..sana sana sample za wanyama. Wanasoma kozi kama microbiology l, molecular na haematology.
Hadi sasa hivo haipo chini ya wizara maalumu kama ilivo Bsc. Microbiology ya udsm(sina uhakika sana kwa microbiology).
Kazi zake wanafanyia sana kwenye maabara za wanyama(TVLA).
Si kweli kuwa wanaspecialize tu kwenye maabara za wanyama, wamegeneralize mpaka mahospitalini wengi tu wapo.
Kinachotokea ni kuwa kwa kuwa BLS ipo chini ya college ya Vet kwa pale sua basi majaribio mengi wanafanyia kwa wanyama.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Ina deal na mambo ya maabara..sana sana sample za wanyama.
Kigezo kipi kinafanya wasiajiriwe kwenye hospital za binadamu?Hapo juu nimesema sana sana kwa wanyama kwa sababu wao hawawezi ajiriwa hospitali za binadamu ingawa field wanaweza kufanya katika hospitali za binadamu.
•hawapo chini ya wizara maalumu hadi sasaKigezo kipi kinafanya wasiajiriwe kwenye hospital za binadamu?
Umetokea Dip au 6 kiongoz..?Na mm km ww nasubiri 2nd round human nutrition
•hawapo chini ya wizara maalumu hadi sasa
•mitaala yao imebase sana kwa wanyama
•wanasema hawasomi anatomy ya binadamu kama wenzao wa labaratory owa hiyo watawezaje kukusanya sample(draw blood kwenye vein).
DipUmetokea Dip au 6 kiongoz..?