Naomba kufahamu hii kozi kutoka SUA Biotechnology and laboratory sciences

Naomba kufahamu hii kozi kutoka SUA Biotechnology and laboratory sciences

hii coz inahusiana na utaalam wa maabara (kwa wanyam /binadam/mimea nk)..pia inahusisha usimamiz na utendaj wa tafit za kimaabara katik mambo mbalimbal km magonjwa ,madawa mamb ya florensic nk nk....kifup ni moja kati ya coz pana saanaaa na nzuri pia
 
Back
Top Bottom