Hata mchanaNimekua nikiskia kama stori tuu ila sina uhakika.Ivi ni kweli kua wakati WA usiku kuku huwa anakua na Sumu mdomoni mwake kwaajiri ya kujirinda? Anaefahamu naomba anisaidie tafadhari.
Sina uhakika, Ila najua kwamba kuku akiona nyoka anamdonoa, akodonoa sumu inamuingia nyoka Na nyoka anaishiwa ujanja hivyo huuliwa Na kuku kirahisiAhsante mkuu inaweza mzuru binadamu??