Naomba kufahamu hili kuhusu kuku

Naomba kufahamu hili kuhusu kuku

Konkiii

Senior Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
118
Reaction score
82
Nimekua nikiskia kama stori tuu ila sina uhakika.Ivi ni kweli kua wakati WA usiku kuku huwa anakua na Sumu mdomoni mwake kwaajiri ya kujirinda?

Anaefahamu naomba anisaidie tafadhari.
 
Nyoka sumu yake hutolewa sasa atakae weza kutoa hiyo sumu ya kuku ntainunua kwa milioni 6 kwa mg 10
 
Back
Top Bottom