Naomba kufahamu historia ya WANYAKYUSA:

Naomba kufahamu historia ya WANYAKYUSA:

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,087
Salaamu wanabodi!!

Wanyakyusa ni watu wajasiri sana katika kufanya mambo yao,hawaogopi mtu na wawazi sana hawajui kumficha mtu,wanapenda sana vitu vizuri, Anayejua historia ya watu hawa naomba anijuze!!!
 
wanyakyusa jamii ya kibantu kama yalivyo makund meng ya hapa tz,ila mapitio yao mpaka kufka tz ni tofaut kdogo,wao wana asili ya wanubi wakaz wa kale sudan kask,kund hl lilijimega toka unub baada ya kutokea kugombea madarak,malkia nyanseba akaondoka kund la watu mpaka kusin mwa Africa na kurud kukaa morogoro uko mahenge wakajulikana kama wangonde,wankonde baadae wasokile hasa tokana na utaratb wa bhusoka,kunako miaka ya 1700's wakaondoka tena mahenge kufuat milima ya livingstone,wakagawanykakund moja l
 
likafika wilaya RUNGWE kwa kupitia bhosokelo(mwakaleli)wafka kabhale(karb na suma)mpk leo weng makabur yao yanatazama kabale kama ilivyo kibra kwa waislam,hawa kiongoz wao wa kwanza alikuw mwakyusa aliekuwa na wake kama 3,nkusye ambaye mwanae wa kiume mwankusye,kibinga=mwakibinga,ipopo=mwaipopo kutokana na hilo ndio maana hawa upande wa tz wanaitwa wanyakyusa yan watu wa mwakyusa au watoto wa mwakyusa(kyusa ndio jina mwa inaongezwa kwa mwanaume tu)hawa wakasamba kuelekea kusin mpaka kyela.
 
lile kund la pili likaenda mpaka kusin mwa ziwa na kupandsha mpaka kalonga lipanda kask upande wa kus wa mto songwe mpaka hao ndio wangonde wa malawi.lugha moja utamadun mmoja.ukifk unyakyusan ktk wilaya zote utakutana na majina ya vijj yanayofana,mf lugombo,bhujes,ighembe,lupaso,mbangamojo(bagomoyo pale tky)itete,masebhe nk.ata mahenge vngne vipo.hawa wakarim,wasafi mno,wanajipenda na kujiamin,k jamii inayofanya ufugaji na kilimo.chakula chao kikuu n ndiz na nyama,pia mchele.
 
wanyakyusa jamii ya kibantu kama yalivyo makund meng ya hapa tz,ila mapitio yao mpaka kufka tz ni tofaut kdogo,wao wana asili ya wanubi wakaz wa kale sudan kask,kund hl lilijimega toka unub baada ya kutokea kugombea madarak,malkia nyanseba akaondoka kund la watu mpaka kusin mwa Africa na kurud kukaa morogoro uko mahenge wakajulikana kama wangonde,wankonde baadae wasokile hasa tokana na utaratb wa bhusoka,kunako miaka ya 1700's wakaondoka tena mahenge kufuat milima ya livingstone,wakagawanykakund moja l

weka reference
 
lile kund la pili likaenda mpaka kusin mwa ziwa na kupandsha mpaka kalonga lipanda kask upande wa kus wa mto songwe mpaka hao ndio wangonde wa malawi.lugha moja utamadun mmoja.ukifk unyakyusan ktk wilaya zote utakutana na majina ya vijj yanayofana,mf lugombo,bhujes,ighembe,lupaso,mbangamojo(bagomoyo pale tky)itete,masebhe nk.ata mahenge vngne vipo.hawa wakarim,wasafi mno,wanajipenda na kujiamin,k jamii inayofanya ufugaji na kilimo.chakula chao kikuu n ndiz na nyama,pia mchele.

picha plse usisahau
 
mila za kinyakyusa hazimnyimi sana haki mwanamke,ni wanyakyusa pekee ktk jamii za kibantu wanampa hak na hadh anazostahili kw kias fulan mwanamke kuliko makabila meng ya kiafrika.mf mwanamke kama n mzaliwa wa kwanza ata kama ana kaka zake lkn wadogo kw kuzaliwa,yeye ndie huteliwa kwnza kuw mrith then yeye humkabidh kaka yke kwa hiyal wakat wa sherehe za ubhunyago ya kumalza matanga.kama hayupo bas yeye hurith mwenyewe kw niaba ya nduguze.hl pamoja na mengne humfanya mwanke wa kinyakyusa kujiamin.u
 
pia unaweza ukaona pia kwny utaratibu wa kuchukua majina,wa kiume anachukua toka kw kike wa kike kiumen,huo ndio utaritibu wa jad,na ilkuw kumtukuza mwanamke kuliko anzia kwa malkia nyanseba.unapomskia mtu anaitwa mwaipopo tambua bibi yake mzaa baba yake jina la ukoo wake alikuwa ipopo.kwa yy n mwanaume anaongoza kiambish awal mwa-ipopo.huo ndio utaratibu wa jad.mwaipopo hazai mtoto nae jina la uko akaw mwaipopo.tukrud nyuma kdogo hasa wilayan Rungwe walpofka walikuta wenyej upande wa kask waliwakuta
 
lile kund la pili likaenda mpaka kusin mwa ziwa na kupandsha mpaka kalonga lipanda kask upande wa kus wa mto songwe mpaka hao ndio wangonde wa malawi.lugha moja utamadun mmoja.ukifk unyakyusan ktk wilaya zote utakutana na majina ya vijj yanayofana,mf lugombo,bhujes,ighembe,lupaso,mbangamojo(bagomoyo pale tky)itete,masebhe nk.ata mahenge vngne vipo.hawa wakarim,wasafi mno,wanajipenda na kujiamin,k jamii inayofanya ufugaji na kilimo.chakula chao kikuu n ndiz na nyama,pia mchele.

Ndizi na nyama na parachichi ni hatari sana kwa kuongeza nguvu za kiume bila shaka wapo very active kwenye fani.
 
janken mbisso ingekuwa vizuri kama ungeweka hizo posts zako kwenye hii thread katika post moja. Halafu edit. Umeandika vizuri, shida ni mpangilio. Ukiweza weka na reference.
 
Last edited by a moderator:
kask wapo wenyej hasa waliofka mapema kabisa,wasafwa ambao walisukumwa kuelekea upande wa kaskazn na ujio wa wangonde(wanyakyusa)upande wa masharik wapo wakinga,magharb ni ktk bonde la ibililo,kyosa wakipatikna wapenja ambao n kabila dogo ambao wamemezwa na kupoteza utambulsho wao,ktk miinuko kuelekea ileje wanapatikana wa'nyika(manyafu,nyamanyafu,waiga)ni weny asil ya sumbawang nao wamepoteza lugha yao ya asil,hao ndio koo za akina BUKUKU nk.upande wa masharik wanapakana na wandali
 
wandali na wanyakyusa watu wanawachanganya wakidhan kund moja kama walivyo wasukuma na wanyamwez. hawa n tofaut sana kwa asili japo wote n wabantu.kitu kinachofanya lugha na tamadun zao zifanane(1)wanyakyusa walitawala mpaka ileje ktk baadh ya vijiji,mf kasunga bugoba alitawala mpaka chikumbulu,ngulugulu,bufula nk.(2)wamishenari wamoravian wafikia unyakyusa,wakatafasiri maandko ktk kinyakyusa,wakawatumia wanyakyusa na lugha yao kueneza din undali ivo kupelekea kuathar utamadun wa wandali
 
Historia nzuri .... lakini vipi uhusiano wa Wanyakyusa na Wakinga? Pia umesema ni bantu, hivi Wanubi (from Sudan & South Egypt) ni Wabantu?
 
Back
Top Bottom