Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawashukuru kwa chanamoto zenu .nitajitahidi kuweka sawa nikirud
wanyakyusa na wakinga wana uhusiano wa karibu kwa karne nyingi sana tangu wafike ktk ardhi ya mkoa wa mbeya.mwanzo wa uhusiano wao unaanza pale malafyale wa mwanzo wa wanyakyusa aliejulikana kwa jina la mwakyusa hasa hawa wa kaskazin ya mto songwe alipomwalika mzee wa kikinga kuja kufanya tambiko wakati wa kumchagua mtoto wa kumrith wakati wa ubhusoka kutoka ktk watoto waliozaliwa tokana na wakeze ambao ni ipopo.Nkusye na Kibhinga.kuanzia wakati wanyakyusa walikuwa wanafanya matambiko yao kwa msaada wakinga ivo kupelekea kuacha athali ktk miiko na mambo mengine.kuna uhusiano mkubwa wa jadi yao.tutaliweka sawa siku za uson pindi nkimaliza shughuri uku na kurud
Hujarudi mkuu!!?:smile-big:
Ukome na utukome hii ni tanzania