wandali na wanyakyusa watu wanawachanganya wakidhan kund moja kama walivyo wasukuma na wanyamwez. hawa n tofaut sana kwa asili japo wote n wabantu.kitu kinachofanya lugha na tamadun zao zifanane(1)wanyakyusa walitawala mpaka ileje ktk baadh ya vijiji,mf kasunga bugoba alitawala mpaka chikumbulu,ngulugulu,bufula nk.(2)wamishenari wamoravian wafikia unyakyusa,wakatafasiri maandko ktk kinyakyusa,wakawatumia wanyakyusa na lugha yao kueneza din undali ivo kupelekea kuathar utamadun wa wandali