Naomba kufahamu "hit song" ya Diamond ya sasa?

Naomba kufahamu "hit song" ya Diamond ya sasa?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote.

Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha.

Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa nyimbo zake pekee. Kwa sababu wafuasi tunaona anaachia banzi juu ya banzi
 
Zuwena ni hit song

Diamond anapenda kuachia nyimbo mfululizo sababu sio msanii mvivu mvivu.

Anajua mziki ni kazi yake na mashabiki wake wanataka nyimbo mara kwa mara
 
Zuwena ni hit song

Diamond anapenda kuachia nyimbo mfululizo sababu sio msanii mvivu mvivu.

Anajua mziki ni kazi yake na mashabiki wake wanataka nyimbo mara kwa mara
hapendi kubweteka kabisa na anaiheshimu sana kazi yake licha ya kupiga hatua kubwa kimafanikio.
 
Back
Top Bottom