Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote.
Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha.
Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa nyimbo zake pekee. Kwa sababu wafuasi tunaona anaachia banzi juu ya banzi