Nelly1
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 316
- 546
Habari wataalam,
Ni matumaini yangu kwamba weekend yenu inaenda poa.
Naomba kufahamu kama kuna hospitali nyingine maalum kwa ajili ya watoto tofauti na ile ya Morocco kwa marehemu Dr Massawe au pale fire kwa Dr Ameer, Jijini Dar es salaam.
Natanguliza shukrani za dhati.