Wadau bado naomba msaada. ShukraniHabari wataalam,
Ni matumaini yangu kwamba weekend yenu inaenda poa.
Naomba kufahamu kama kuna hospitali nyingine maalum kwa ajili ya watoto tofauti na ile ya Morocco kwa marehemu Dr Massawe au pale fire kwa Dr Ameer, Jijini Dar es salaam.
Natanguliza shukrani za dhati.
Pole, naona wadau hawapo....mi sina nnayoijuaWadau bado naomba msaada. Shukran
Wanatumia bima? Au kama ni cash kumuona ni shilingi ngapi?Pole mkuu bila Shaka unauguliwa, Mtoto akiugua ni changamoto Sana Kuwa makini miaka kumi na mbili niliwahi kupoteza mtoto wangu wa kiume (Pumzika kwa Amani Mtoto wangu Marehemu Lawrence).
Anyway Kama upo Dar ES Salaam, Nenda Fire mtaa wa Swahili na Faru kwa dokta wa kihindi Dr Kareem au Livingstone na Mkunguni Dr Kwayo. Muda ni saa moja Asubuhi mpaka saa Kumi Jioni na gharama ni rafiki.
Utaleta mrejesho hapa hao Wahindi ni madaktari Bingwa wa watoto hawabatishi kazi.
Wanatumia bima?Pole mkuu bila Shaka unauguliwa, Mtoto akiugua ni changamoto Sana Kuwa makini miaka kumi na mbili niliwahi kupoteza mtoto wangu wa kiume (Pumzika kwa Amani Mtoto wangu Marehemu Lawrence).
Anyway Kama upo Dar ES Salaam, Nenda Fire mtaa wa Swahili na Faru kwa dokta wa kihindi Dr Kareem au Livingstone na Mkunguni Dr Kwayo. Muda ni saa moja Asubuhi mpaka saa Kumi Jioni na gharama ni rafiki.
Utaleta mrejesho hapa hao Wahindi ni madaktari Bingwa wa watoto hawabatishi kazi.
Mkuu usiwe muoga kwenye kuuguza pesa inatafutwa, Hawana Bima ni Cash ndiyo maana nikakwambia gharama zao ni rafiki.Wanatumia bima?
Au kama ni cash kumuona ni shilingi ngapi?
Sidhani kama ni uoga. Mtu unakua unajipanga ili matibabu yasikwame njianiMkuu usiwe muoga kwenye kuuguza pesa inatafutwa, Hawana Bima ni Cash ndiyo maana nikakwambia gharama zao ni rafiki.
Sasa Tena maswali kibaaoooo, naanza kupata mashaka huyo Mtoto wako ana maradhi ya kawaida ila huenda ubahili wako ndiyo kikwazo mtoto kupata tiba muafaka. Ukitumia cash unaona unaibiwa .
Mkuu usiwe muoga kwenye kuuguza pesa inatafutwa, Hawana Bima ni Cash ndiyo maana nikakwambia gharama zao ni rafiki.
Sasa Tena maswali kibaaoooo, naanza kupata mashaka huyo Mtoto wako ana maradhi ya kawaida ila huenda ubahili wako ndiyo kikwazo mtoto kupata tiba muafaka. Ukitumia cash unaona unaibiwa .
Mkuu hii lugha uliyoitumia sio sawa kabisa, kiukweli haipendezi hata kidogo.Mkuu usiwe muoga kwenye kuuguza pesa inatafutwa, Hawana Bima ni Cash ndiyo maana nikakwambia gharama zao ni rafiki.
Sasa Tena maswali kibaaoooo, naanza kupata mashaka huyo Mtoto wako ana maradhi ya kawaida ila huenda ubahili wako ndiyo kikwazo mtoto kupata tiba muafaka. Ukitumia cash unaona unaibiwa .
Mkuu kuna maswali yanakera sana, mtu mhitaji Hana maswali Mengi. Sikutegemea maswali mepesi kiasi hicho.Mkuu hii lugha uliyoitumia sio sawa kabisa, kiukweli haipendezi hata kidogo.
Ninachomaanisha ukijua gharama za kumuona daktari utajua ujipange vipi. Unaweza ukafungwa safari ya kwenda kumuona mfukoni una shilingi elfu hamsini kumbe kumuona tu ni elfu hamsini bado dawa ndoa maana nikatakq kujua gharama ya kumuona inachezwa ngapi ili mtu ikijipanga kwenda uende kamili.Mkuu usiwe muoga kwenye kuuguza pesa inatafutwa, Hawana Bima ni Cash ndiyo maana nikakwambia gharama zao ni rafiki.
Sasa Tena maswali kibaaoooo, naanza kupata mashaka huyo Mtoto wako ana maradhi ya kawaida ila huenda ubahili wako ndiyo kikwazo mtoto kupata tiba muafaka. Ukitumia cash unaona unaibiwa .
Mkuu nahisi unakichwa kigumu kuelewa,Mosi Mimi hakuna mahali nimeandika Nina maisha mazuri.Ninachomaanisha ukijua gharama za kumuona daktari utajua ujipange vipi. Unaweza ukafungwa safari ya kwenda kumuona mfukoni una shilingi elfu hamsini kumbe kumuona tu ni elfu hamsini bado dawa ndoa maana nikatakq kujua gharama ya kumuona inachezwa ngapi ili mtu ikijipanga kwenda uende kamili.
Kama ni maswali mengi yapotezee.Mtu hawezi kuwa bangili maisha tunatofautiana kiuwezo.
Aliyekuwa wewe ndiye aliyenunua miye.Hongera kwa kuwa na maisha mazuri