Naomba kufahamu Hospitali maalum kwa ajili ya watoto

Bado kubali kuwa umekuwa rude, sijaona kosa lake alipokuuliza kama wanatumia bima au laa! Ilikuwa kumpa jibu simple tu, ndiyo au hapana au kumuignore kabisa.

Again hukuwa considerate watu wanatofautiana uwezo, hivyo umemuhukumu sana.

Pole kama nitakukwaza.
 
Lile jibu alilompa yaani mimi msomaji nimejikuta najiskia vibaya sana kuliko hata huyo muulizaji.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kutumia busura pindi unapomsaidia mtu mwenye shida/matatizo.
 
Nashukuru sana mkuu
 
Shida yako ni hospitali (jina) ama una uhitaji wa Daktari mzuri wa watoto?

mie kila daktari ni mzuri, japokuwa kila mmoja amewiwa karama tofauti

"Beauty is in the eye of the beholder"
Kuna hospitali ambazo zina deal na watoto tu ndio nnazo hitaji. Asante.
 
Nashukuru kwa mafafanuzi mkuu.
 
Mkuu samahani. Aliyeanzisha uzi ni mimi ndiye nilikuwa nahitaji msaada.

Mchangiaji ndio alihitaji maelezo zaidi. Tusimlaumu. Nadhani watu huwa wanauliza ili kuhusu cash na bima ili ajipange vzr zaidi kabla ya kwenda.

Nimetumia hiz hospital mala kadhaa. Bahati mbaya madaktari niliokuwa nawatumia wametangulia mbele ya haki.. eg Dr Dullah na Dr Massawe RIP. Na zote nilizopita huwa hawana bima.

So kwangu naelewa vzr zaidi. Nilihitaji kujua kama kuna daktari mwingine mzoefu sababu siku naandika uzi mtoto alikuwa na changamoto. Asante sana.
 
Shukrani sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…