Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

Fatma-Zehra

Senior Member
Joined
Oct 18, 2020
Posts
192
Reaction score
1,063
Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia.

Shukrani sana.
 
Wewe ni VIP au unafanya kazi kampuni kubwa zenye pesa au ni mfanyabiashara mkubwa?

Kama jibu ni ndiyo hoteli inayokufaa ni Malaika beach resort ni nzuri na bei yake ni nafuu kulinganisha na hadhi yake ya juu bei ya chumba ni kuanzia shilingi laki tatu kwa siku vyumba vya kawaida

Karibu sana
 
Back
Top Bottom