Naomba kufahamu juu ya biashara ya stationery

Kwa mtu anaetaka kuanza hii biashara unamshauri aweke nguvu kwenye kitu gani?
Inategemea na eneo analohitaji kufanyia biashara,wateja aliowataget, na anaifanya biashara hiyo kwa ukubwa gani na atatoa huduma,jumla na rejareja,ama vyote pamoja na zabuni,
1.Asiweke mali nyingi chini,Si lazima aweke pesa nyingi kwenye mali iliyolala kama mtaji si mkubwa,
2.Afanye zabuni zipo na zinatangazwa kila mahala(za taasisi binafsi ni nzuri zaidi)
3. Kama ataweza awe na vitendea kazi vyenye uwezo mzuri(printers kubwa zenye speed kubwa)
4. Asiajiri mtu kama hana jambo linalomlazimu kufanya hivyo,stationery ina pesa nyingi zisizo na tracking
5.location ni jambo muhimu sana hasa kama una mtaji mdogo,japo sio kikwazo cha kufanya biashara hiyo
6. Toa huduma nzuri kujenga jina
 
Ok nimekusoma, mimi wa mtaji mdogo, nnafukuzia mil 5 nikiipata hivi punde nataka nifanye hii biashara nataka ninunue printer canon photocopier IR 2520. Nataka nikae golini mwenyewe.

Hiyo point namba 1 kuweka mali chini unamaanisha nini?
 
Kwanza jiridhishe na eneo la biashara kama linaweza kuwa na mzunguko mzuri wa wateja.
Copy na printing inalipa sana kama mzunguko upo wa kutosha.
Huduma ambata ni passport size,soft drinks,vocha & uwakala usisahau na huduma ya internet hata desktop mbili hii itakulipa sana kipindi cha ku apply vyuo,mikopo,matokeo na kama uko vizuri kwenye internet hapa pana hela nyingi sana maana wa tz wengi bado kwenye internet.
Mashine nzuri kwa copy/ printing ni canon, chukua 2520( hizi nyingi ni used) ukikosa 2425 sio mbaya pia tafuta printer ya epson kwa ajili ya kuprint document za Rangi.
 
Full set computer desktop nzuri kwa kazi za stationery ni ipi?
 
Ok nimekusoma, mimi wa mtaji mdogo, nnafukuzia mil 5 nikiipata hivi punde nataka nifanye hii biashara nataka ninunue printer canon photocopier IR 2520. Nataka nikae golini mwenyewe.

Hiyo point namba 1 kuweka mali chini unamaanisha nini?
Namaanisha usinunue mzigo mkubwa ambao mzunguko wake utakua mdogo,heri ukawa na cash hata 3M kwa ajili ya zabuni ndogo ndogo ama zile kazi za haraka zenye faida ,zabuni ukiwa mwepesi zipo mpaka za mtaji wa laki 3,4....
Pia kuwa na leseni inayokuruhusu kufanya kitu zaidi ya kimoja
 
Back
Top Bottom