Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 110
- 169
NimekusomaNamaanisha usinunue mzigo mkubwa ambao mzunguko wake utakua mdogo,heri ukawa na cash hata 3M kwa ajili ya zabuni ndogo ndogo ama zile kazi za haraka zenye faida ,zabuni ukiwa mwepesi zipo mpaka za mtaji wa laki 3,4....
Pia kuwa na leseni inayokuruhusu kufanya kitu zaidi ya kimoja