Naomba kufahamu kama hawa jamaa walikufa au walipona

Naomba kufahamu kama hawa jamaa walikufa au walipona

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kuna video inatrend jamaa wawili wako kwenye gari ndogo wanajirekodi video. Kufumba na kufumbua gari ya mbele yao inafunga break ghafla wanaipiga kwa nyumba hawaja kaa sawa dreva anataka kuitoa pembeni wanakutana na Basi uso kwa uso na wote wananyamaza kimya kwenye video.

Je, wamekufa?

Hiyo hapo, hebu ichekini. Je, jamaa walikufa?

 
Mwenye kufahamu huu msala atujuze majaliwa ya washkaji.
 
Back
Top Bottom