Ni kwanini hukuiweka awali?Ngoja niiweke hiyo video.
Nasikitika mkuu Superbug kwa kufutiwa uzi wako wa Jana....Hakika mods are very biased....Ngoja niiweke hiyo video.
Sidhani Kama dereva alikufa labda abiria wa upande mwingine.Hiyo hapo hebu ichekini je jamaa walikufa?
Kuna uzi uliushusha Jana asubuhi ..uliushusha kwa kimomboUzi gani mkuu
Na ndio asilimia kubwa ya hawa madereva wa subaru n crown.Hio ajali ni mfano wa ajali nyingi zitokeazo nchini sababu ya uzembe katika uendeshaji! Dereva makini hawezi kutanua kufuata gari la mbele pasi na kuchukua tahadhari kama kuna hatari gani yaweza tokea mbele!
Ngoja nkupandishie uwaone na hawa..Mwenye kufahamu huu msala atujuze majaliwa ya washkaji.
Yah! Mtu anatanua tu anataka azikate gari za pembeni tena kwa kufuata lorry linalotanua mbele yani! Hio naitaga kubeti aisee ni mbaya sanaNa ndio asilimia kubwa ya hawa madereva wa subaru n crown.
Huyu dereva wa hii truckHiyo hapo hebu ichekini je jamaa walikufa?
Hii haiko relevant! Walioko kwenye gari ni wamepanda Warbus. Hawa wengine wako kwenye gari kama noah hiviNgoja nkupandishie uwaone na hawa..
Walichokuwa wanakitafuta wameligeti
Ova
Yah,nafahamu hiloHii haiko relevant! Walioko kwenye gari ni wamepanda Warbus. Hawa wengine wako kwenye gari kama noah hivi