Naomba kufahamu kama hawa jamaa walikufa au walipona

Dashboard Camera hiyo gari ikipata ajali wenye kampuni wanakuja kuangalia chanzo hata magari ya kawaida mengi yamefungwa hizo Camera na kujua watekaji pia hasa kwa Nchi zisizo salama..
 
Sizani kama ni dashboard camera, hii iko nyuma yao na dashboard inaonekana, hii itakuwa na jina jingine
 
Hapana mkuu,kuna madereva wengine ni wazoefu mpaka kufikia kiwango cha kuchagua aina ya ajali na namna ya kuiendea hiyo ajali ili kupunguza au kutokuwa na vifo kabisa na kuokoa mali (gari)
 
Dashboard Camera hiyo gari ikipata ajali wenye kampuni wanakuja kuangalia chanzo hata magari ya kawaida mengi yamefungwa hizo Camera na kujua watekaji pia hasa kwa Nchi zisizo salama..
Kwenye mazishi utasikia kifo sijui nn
 
sasa unalia nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…