Naomba kufahamu kampuni za usafirishaji mizigo midogo midogo na ya kati hapa Tanzania

Naomba kufahamu kampuni za usafirishaji mizigo midogo midogo na ya kati hapa Tanzania

45 king

Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
69
Reaction score
18
Naombe msaada wakuu
Napenda kufahamu kampuni ya usafirishaji mizigo midogo midogo na ya kati hapa tz
 
Marhaba......
Narhaba........
Back town..........
Mfinanga..........

halafu usitulazimishe tujibu..........tutajibu kwa wakati wetu.............

Haha ww Preta afu sijakuelewa hapo ulizotaja
 
Last edited by a moderator:
Utata wa Pentium size ya muuliza swali.IQ haiko poa kabisaaa.
Post ya mtu ndio inabeba mtu mwingine kuitambua IQ ya mwenzi.
 
Utata wa Pentium size ya muuliza swali.IQ haiko poa kabisaaa.
Post ya mtu ndio inabeba mtu mwingine kuitambua IQ ya mwenzi.

Ha ha ha ha ha Huu sasa ugomvi ukiambiwa ule limao usikasirike mpwa mana siku hizi naskia maharage yanashusha IQ sasa sisi wa chini ya dola moja tutaishije
 
Mwaka jana nilikuwa Ulan Bator. Almanusura niache mbegu huko Kambi ya Fisi. Totoz wa Kichina wametulia.

Sasa si ndio hizo nimekutajia.............
kwani upo hapa Mongolia............?..............
 
Back
Top Bottom