Naomba kufahamu kazi ya Shanga na Cheni za kiunoni

Ni urembo unaotuhamasisha wapenzi wenu, na hasa tukiwa tunashika kiuno chenye shanga au cheni pale kikiwa kinanesa nesa hamu/mzuka ndio unazidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732]!!
 
Shanga avae mtoto mwembamba slim flani hivi au yeyote mwenye umbo la kati sio mnene sio mwembamba ndio zinanoga sio ukute jitu bongeeee halafu linavaa shanga,inakuaga kama mzigo wakuni uliofungwa kamba unasubiri kubebwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…